HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 December 2012

LUIS SUAREZ 2(Liverpool 3)-QPR O LIGI YA UINGEREZA




Timu ya  QPR Bado ipo  katika hari mbaya zaidi hasa katika mstari kushuka daraja baada ya  Luis Suarez-Kupereka Neema  Liverpool.

Kocha wa Majogoo mekundu  Brendan Rodgers hakuwepo kiwanjani alikuwa akisumbuliwa na Maradhi lakini ulinzi mbovu wa QPR uliisababishia wenyeji kuwa nyuma kwa mabao mawili kwa sifuri

 QPR  Walinyimwa pernati pale  Adel Taarabt's alipopiga mkwaju wa moja kwa moja  na kugonga mkono wa  Jordan Henderson, kabla ya  Daniel Agger kufunga bao la tatu kwa   Liverpool' . 

 
Goal - Luis Suarez - QPR 0 - 1 Liverpool
Luis Suarez fires in a goal from inside the area to the bottom left corner of the goal. QPR 0-1 Liverpool.


Goal - Luis Suarez - QPR 0 - 2 Liverpool
Goal scored by Luis Suarez from close range high into the middle of the goal. QPR 0-2 Liverpool.


Goal - Daniel Agger - QPR 0 - 3 Liverpool
Daniel Agger finds the back of the net with a headed goal from close in. QPR 0-3 Liverpool.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers