Timu ya soka ya taifa ya Kenya imeifunga Zanzibar katika mapigo ya penati na kufuzu hatua inayofuata ya mashindano ya Cecafa yanayaofanyika Uganda
Harambee Stars walitoka nyuma mara mbili na kuapata suluhu ya mabao mawili kwa mawli na kupereka mpira katika dakika za nyongeza ambapo timu hizo zilishindwa kufungana pia katika daika hizo
Khamis Mcha Khamis aliipatia Zanzibar goli la uongozi katika dakika 21 lakini dakika chache baadae Mlinzi wa timu taifa ya Zanzibar Nadir Haroub aliokoa mpira vibaya na kujifunga na kufanya mpaka nusu ya kwanza kwenda sare ya bao moja kwa moja.
Zanzibar
ilipata tena goli la uongozi kwa goli lililofungwa na Aggrey Morris
katika dakika ya 76th ,lakini dakika nne kabla mpira haujamalizika
Mike Baraza aliisawazishia kenya goli la pili .
Timu zote mbili zilimaliza mechi zikiwa na wachezaji kumi wakati mcheza wa timu ya taifa ya Zanzibar's Ahmed Adeyom alionyeshwa kadi ya pili ya manjano baada ya kumfanyia madhambi Victor Ochieng, aliyeingia kipindi cha pili na alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kupata maumivu makali .
lakini bahati ya robo fainali haikuweza kuendelea kwa Zanzibar katika upigaji wa penati ambapo walishindwa kufunga penati mbili , wakati Mike Baraza, Joackins Atudo, Edwin Lavatsa na Abdalla Juma wote walifunga penati zao kwa upande wa Kenya.
Bingwa mtetezi Uganda, katika mchezo uliofuata waliiibaamiza , inavyotakiwa Tanzania Bara 3-0 katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya CECAFA

Magoli mawili yaliyofungwa na Robert Ssentong na moja likifungwa na mshambuliaji wa klabu ya simba Emmanuel Okwi yaliiipa siku ya furaha Timu ya taifa ya uganda na kujihakikishia kucheza fainali kwa mwaka 2012 katika mashindano ya cecafa .
Jumamosi itakuwa ni marejeo ya fainali ya mashindano ya cecafa ya mwaka 2008 pale uganda ilipoifunga ndugu zao wa jadi kenya goli moja 1-0.
Zanzibar itacheza na ndugu zao Tanzania Bara katika kutafuta mshindi waa tatu mechi itakayochezwa mapema zaidi .
No comments:
Post a Comment