HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 January 2013

Galatasaray YATHIBITISHA KUMTAKA TEMBO WA IVORY

Didier Drogba

Baada ya kumnsa Wesley Sneijder Galatasaray wametangaza ni yao ya kumtaka mshambuliaji wa ivory coast na mchezaji wa chelsea wa zamani  Didier Drogba kutoka klabu yake ya  Shanghai Shenhua. 

Drogba mwenye miaka 34-year-old's ambaye kampuni yake imethibitsha kuwa anatakiwa na klabu hiyo ya uturuki 
Drogba kwa sasa anacheza katika mataifa ya afrika na timu yake ya taifa ya ivory coast .

Kuondoka kwake  Shenhua  kunakuja baada ya mchezaji mwenzake wa zamani wa chelsea  Nicolas Anelka, kujiuanga na  kwa mkopo wiki iliyopita akielekea Juventus 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers