HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 January 2013

WAFUNGWA WAFUNGWAA NA NDALA ZA JANGWANI

 


Daar es salaam yanga afrika imeanza vema mzunguko wa pili wa ligi ya VODACOM KWA KUIFUNGA Prison mabao matatu kwa moja katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa taifa ambapo mbuyu na tegete walisaidia timu ya kutoka na ushindi tegete alifunga mawaili na twite kufunga moja na kufikisha alama 32 katika msimamo ligi ya vodacom

Dakika ya 11, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao la kwanza
Dakika ya 58, Mbuyu Twite anaipatia Young Africans bao la pili
 Dakika 66, Jerson Tegete anaipatia Young Africans bao tatu
Young Africans 3 - 1 Prisons
Anaingia David Luhende anatoka Nurdin Bakari

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers