HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 February 2013

BARAFU ZA AZAM YA KANYAGWA NA NDALA ZA JANGWANI

 
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Niyonzima baada ya kutupia bao.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akimkabili mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Picha sufiani mafoto . 
Yanga  Imeshinda kwa goli moja kwa sifuri goli lilifungwa na  Haruna Niyonzima katika dakika ya 32 kipindi cha kwanza .
  .
Yanga sasa inatimiza alama thelathini na Tisa na wakiendelea kuongoza ligi ya tanzania bara  huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi wakati azam  inabaki katika nafasi pili  na alama thelahini na sita 
ligi hiyo itaendelea tena hapo kesho ambapo Simba ya jijini Dar es salaam Yenye alama 31 itakwaana na Mtibwa sukari inayoshika nafasi ya saba wakiwa na alama 24 katika msimamo wa ligi kuu soka tanzania Bara.  

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers