HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 February 2013

Dimitar Berbatov' KAUA

Dimitar Berbatov

Dimitar Berbatov's amaefunga goli safi kabisa  volley ambalo lilitosha kabisa kuifunga  Stoke City na kuipatia ushindi   Fulham na unakuwa ushindi wa nne katikia mechi kumi na tisa za ligi ya Premier .
Berbatov alikung'uta shuti mita kumi kutoka golini na kuifanya timu hiyo kwenda mapumziko ikiwa inaongoza bao kwa sifuri. goli hilo  lilipatikana  kabla ya nusu ya kwanza kumalizika
Stoke awalipoteza nafasi ya baada kupoteza pigo la pernaty ambapo mlinda mlango wa timu Fulham  Mark Schwarzer alikokoa mkwaju huyo wa  Jonathan Walters .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers