Mwana muiziki kutoka Africa’ magharibi   emcee, D’banj wa  Nigeria, Ndiye amepewa dhamana ya kutumbuiza siku ya mchezo wa fainali ya kombe la mataifa ya afrika Jumapili hiii .
Moja kati ya vibao atakavyoo Imba siku hiyo ni  
The ‘Oliver Twist’ na  ‘On Top of the World’ Nyota huyo atakuwa moja kati ya waleta raha katika sherehe za ufungaji wa mashindano hayo ambapo watakuwa wakishirikiana na Kituo cha Runinga cha SSP cha afrika kusini na kamati ya maandalizi ya michuano ya mataifa ya afrika  2013 .
‘On Top of the World’ Ni moja kati ya vibao ambavyo vimekuwa kikitumiwa na Runinga hiyo katika kampeni ya 
Afcon 2013.
Afcon 2013.
 ‘Oliver Twist’ imewahi kumsaidia mwana muziki huyo kutwaa Tuzo mbalimbali ikiwemo za  BET na  MTV Europe , Kijana huyo  
32 yrs  ni moja kati ya wanamuziki bora katika bara la afrika katika muongo uliopita 
 
 
 
No comments:
Post a Comment