HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 February 2013

PHIL JONES MATATANI :FERGUSON




Manchester United's English defender Phil Jones receives treatment on the field 

Kocha wa Manchester united Sir Alex Ferguson amesthibitisha kuwa  Phil Jones ana nafasi ndogo  ya kucheza Dhidi ya  Real Madrid Tarehe  5 March.
Jones anasumbuliwa na matatizo ya kifundo cha mguu  katika mechi ya kombe la FA dhidi ya Reading jumatatu iliyopita na amekuwa katika uangalizi wa hari ya juu na kuna uwezekano mubwa akakosa mechezo wa marejeano na - hakuna la zaidi kwa sasa-,"anasema  Ferguson .
Jones atakosa mechi ya kati timu yake na  Queens Park Rangers jumamosi aidha  Ferguson anajua kuwa kutokuwepo kwake  dhidi ya  Real Madrid ni moja kati ya tatizo kubwa kikosini .
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers