HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 February 2013

MAPANGAJI MATOKEO YA SOKA HUYU HAPA TAZAMA SURA YAKE AKAMATWA LEO ITALIA Admir Suljic, 31




Admir Suljic, arrested by Italian police under suspicion of match-fixing. 

(CNN) -- Kijana anayetuhumiwa kuwa ni moja kati ya mhusika wa genge la upangaji matokeo katika ligi mbalimbali barani ulaya amekamatwa  leo na maafisa wa kimataifa wa usalama wa italia baada aya kutafutwa tangu   December 2011.

Admir Suljic, ambaye ni mchezaji wa zamanai amekamtwa katika uwanja wa ndege wa Malpensa leo alhamisi huko italia akitokea singapore.
Kijana huyo raia Slovenian 31 anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya moja kwa moja na na genge la wapangapji matokeo  la Singapore na  Balkans ambalo limekuwa likichunguzwa na Bet" .
Wahusika wa usalama wamesema kuwa kundi hilo linahusika  na upangaji wa matokeo ya wa baadhi ya mechi katika ligi ya mabingwa barani ulaya kuanzia msimu wa mwaka 
2009-2010 na 2010-2011  na bado kuna ushahidi unaonekana kuwa aliwahi kutembelea katika makao makuu ya timu ya soka ya napoli
 Euro-notes in a football shoe in front of a football. (Illustration zum Thema Fußball-Wettskandal). Foto: Uwe Anspach +++(c) dpa - Report+++  

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mtuhumiwa huyo wa upangaji matokeo katibu mkuu wa askari wa kimataifa Interpol , Ronald Noble, amesema  kukamtwa kwake kulikuwa kwa muhimu sana kwa sababu watu hawaamini kuwa duniani  sheria zipo na hakuna mtu  ambaye yupo juu ya sheria hata siku moja ,"
amesema kuwa anaami ya kuwa mtuhumiwa atatoa ushirikiano wa hari ya juu kuhakiskisha ya kuwa wanajua mambo mengi zaidi kuhusu genge hilo 
."
Taarifa hizi zinakuja baada a shikirikisho la soka barani ulaya kutoa taarifa ya kuwa  jumla ya mechi
380 katika miaka ya  2008 na  2011 ziligubikwa na upangaji wa matokeo . Maafisa wa kimataifa wa Europol katika uchnguzi waliofanya kuwa mhusika ajuliakanae kama Dan Tan ambaye yupo  Singapore- ni moja kati ya watuhumiwa ambao bado anatafutwa katika sakata hilo .



No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers