Kocha Arsene Wenger atahudhuria kikao cha leo cha bodi huku kibarua chake hakitakuwa katika mjadara hata kama hawatafuzu katika ligi ya mabingwa barani ulaya mwakani.
kocha huyo hatofukuzwa kwani wakurugenzi wa bodi hiyo wanaonekana kumwamini zaidi wenger,
Kroenke alikuwepo katika mechi ambayo arsenal ilikung'twa na Bayern Munich naye atakuwa moja ya wadhuriaji katika mkutano huo utakao fanyika London.
Maamuzi ya siku za usoni za Wenger's yapo mikononi mwake mwenyewe ana kandarasi hadi 2014 ambacho alikianza tangu mwaka 1996 labda akatae mweneywe kusaini Tunaelewa kuwa tuna matatizo ya kufungwa lakini klabu inafanya kila linalowezekana kushindana na timu kubwa ulaya siku za usoni
Arsenal ilishinda kombe la FA 2005,ambacho ndio kikombe chao cha mwisho na kwa sasa nafasi yao katika kombe la ulaya ni ndogo baada ya kuvulumishwa na Bayern munich 3-1 katika mzunguko wa kwanza .
.
Lakini inaonekana hari itakuwa sawa hivi karibu kwani klabu hiyo inatarajia kukusanya pauni milioni sabini kwa mauzo ya jezy na itazitumia fedha kwa ajiri ya usajiri huku ikichagizwa na kandarasi ya pauni milinoni £30m ambapo kila klabu hupata kwa ajiri ya haki za runinga na wanatarajia kuwaachia huru Andrey Arshavin na Sebastien
Squillaci ambao wanamaliza kandarsi zao huku Marouane Chamakh na Nicklas Bendtner huenda wakaondoka klabuni hapo .
Klabu inayoshiriki ligi ya Bundesliga Schalke 04 imefungua mashitaka kwa shirikisho la soka ulaya Uefa dhidi ya Mshambuliaji wa
Galatasaray Didier Drogba's katika ushiriki wake wa ligi ya mabingwa wa ulaya baada ya timu hizo kutoka sare ya goli moja moja .
"Tuna mashaka sana na kuruhusiwa kwake kucheza mashindano haya ," Klabu hiyo ilitoa taarifa kwa kupitia anuani yake ya Twitter.
"Schalke 04 wamesema wanaliifanyia kazi na watatazama haki ya yeye kucheza mechi hiyo "
Shirikisho la soka la ulaya litatazama katika kamati yake nidhamu kuhusu malalalmiko hayo japokuwa bado hawajatangaza tarerhe .
Drogba aliichezea timu hiyo ya Uturuki baada ya kujiunga kutoka katika klabu ya Shanghai Shenhua Mwezi january .
klabu ya uchina ilituhumu uhamisho mchezaji huyo alicheza katika mechi ya ligi ijumaa akiingia kutoka kwenye Benchi na alifunga goli pindi alipoingia
.
No comments:
Post a Comment