Mgeni rasmi Profesa Elifas Bisanda wa Chuo Kikuu Huria akitoa nasaha zake za kufunga mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki |
Zaidi ya makombe 80 yalikabidhiwa washindi |
Wanamichezo wa chuo kuikuu cha Kampala na baadhi ya lectures wao wakishangilia na makombe yao waliyotwaa. Chuo hiki kilitwaa makombe 15. |
Mgeni rasmi Profesa Elifas Bisanda wa Chuo Kikuu Huria akimkabidhi Profesa Badru Kateregga wa chuo Kikuu cha Kampla kombe la mshindi wa kwanza wa mpira wa miguu. |
Nahodha Okello Maxwell wa timu ya chuo kikuu cha biashara cha Makerere (Makerere University of Business School) akipokea kombe la mshindi wa pili kwa soka baada ya kufungwa na Kampala kwa penalti |
Rais wa TOC Filbert Bayi akikabidhi kombe kwa timu ya kuogolea |
Tanzania ambayo ilikuwa wenyeji imetiaaibukwani pamoja na kuwa na vyuo vikuu vingi ni vyuo vikuu saba yt viliyoleta wawakilishi huku Kenya na Uganda wakileta vyuo 17 kila mmoja.
Zaizi ya makombe 80 yamekabidhiwa kwa washindi huku Chuo Kikuu cha Kampala na Ngejje wakitia fora kwa kuondoka na makombe mengi
Chuo Kikuu cha Kampala ambacho ndio mabingwa kwa mchezo wa soka kimechukuwa makombe 15 na mwakani mashindano ya vyuo Vikuu vya Afrika mashariki yatafanyika nchini Uganda.
Mshindi wa pili kwenye soka ni chuo kikuu cha biashara cha Makerere baada kufungwa na Chuo kikuu cha Kampala wenzao toka Uganda kwa penalti 4-5 baada ya kumaliza dakika 90 wakiwa hawajafungana ndipo zilipopigwa penalti ili apatikane mshindi.
Vyuo vikuu vyauganda vimefanya vizuri kwani ukiangalia kwenye miichezo kikapu, wavu, soka, handball wanawake na wanaume wameingia fainali wenyewe.
No comments:
Post a Comment