Kevin-Prince Boateng Na Sulley Muntari ambao waliwahi kucheza portmouth ya uingereza wameifungia AC Milan magoli mawili na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuifunga miamba ya usipania bao mawili sifuri
Rossoneri walikuwa wakizua kwa kujipanga kwa umakini zaidi huku wachezaji wa wazamani wa Portsmouth wakifunga goli kila mmoja .
Boateng alifunga goli malidadi baada Riccardo
Montolivo's kupiga pigo la moja kwa moja na kubabatiza mchezaji mwezie lakini dakika tisa baadae Muntari's alifunga goli kwa shuti ndani kisanduku cha pernaty (volley ).
Barcelona wanapata kipigo cha tatu msimu huu katika ligi ya mabingwa ulaya .
MILAN 2-0BARCELONA
Schalke imepata bahati ya kupata goli la ugenini dhidi ya Galatasaray katika mechi ya kwanza ya mzunguko wa kumi na sita bora .
WaTurkish waliapata goli la mapema kupitia kwa Burak Yilmaz, alitumia nguvu kumfunga Timo Hildebrand ndani ya eneo la hatari .
lakini kabla ya mapumziko vijana wanaocheza Bundesliga walisawazisha kupitia kwa Jermaine Jones baada ya kuzua shambulizi na kuanzisha shambulizi la haraka yaani
counter-attack.
No comments:
Post a Comment