Galatasaray Imefuzu katika hatua ya Robo fainali baada ya kuwabamiza wajerumani schalke kwa mabao mawili kwa matatu 3-2 na kupata ushindi katika ardhi ya ujerumani.
Baada ya Kutoka suluhu ya goli moja kwa moja katika mechi ya kwanza , Roman Neustadter alianza kuleta balaa wa waturuki baada ya kuipatia Schalke goli katika dakika ya 17 baada ya kuunganisha mpira wa kona .
Lakini Galatasaray ililudi mchezoni baada ya kuibamiza shalke kwa mabao mawili ya haraka haraka huku goli lilovutia likifungwa kwa umbali wa mita 25- hukumfungaji wa goli hilo akiwa mchezaji na kiungo wa zamani wa -Schalke Hatim Altintop and na goli jingine likifungwa na Burak Yilmaz baada ya kuuchop mpira na kumpita mlinga wa schalke .
Michel Bastos raia wa Brazil alisawazisha goli hilo lakini dakika za mwisho wa mchezo Umut Bulut's alifunga goli la mwisho na kuisikuma schalke nje ya mashindano .
Schalke | Galatasaray | ||
34 | Hildebrand (GK) | 25 | Muslera (GK) |
4 | Höwedes (C) | 4 | Hamit Altıntop
37
|
9 | Bastos
63
| 8 | Selçuk İnan (C) |
12 | Höger
14
85
| 10 | Felipe Melo |
17 | Farfán | 11 | Riera |
20 | Pukki
85
| 12 | Drogba
85
|
22 | Uchida | 13 | Nounkeu |
31 | Draxler | 14 | Sneijder
70
|
32 | Matip | 17 | Burak Yılmaz
42
86
|
33 | Neustädter
17
46
| 26 | Semih Kaya
79
|
35 | Kolasinac
90+4
| 27 | Eboué |
No comments:
Post a Comment