Barcelona imeisimamisha dunia kwa baada ya kufanya lile ambalo watu hawakutarajia na kupata ushindi wa kihistoria katika ligi ya mabingwa barani ulaya ikiwa na deni la bao mbili iliweza kusawazisha magoli yote na kufunga mengine mawili na kutoka na ushindi wa mabao manne kwa sifuri na kuisukuma AC Milan nje ya ligi ya mabingwa barani ulaya na kuifanya Barca kutinga hatua ya robo fainali .
Vijana wa Catalunya hawakupoteza muda baada ya kufunga goli katika dakika ya tano tu ya mchezo pale Lionel Messi alipoachia bakola safi ndani ya mita ishirini raia huyo wa Argentine alisawazisha tena goli la pili baada ya kuukokota mpira na kuachia mkwaju kimo cha paka na kuisaidia timu yake kwenda mapumziko wakiwa sare kwa matokeo ya jumla .
David Villa alifunga bao la tatu baada ya kutengnezewa pasi maridadi na Xavi lakini badae Jordi Alba alihitihimisha ushindi kwa Barca na kuitoa na ushindi kwa bao la nne .
Barcelona
- 01 Valdes 02 Alves 03 Pique 18 Alba 06 Xavi 08 Iniesta 10 Messi 14 Mascherano (Puyol - 77' ) 16 Busquets 07 Villa (Sanchez - 74' ) 17 Pedro Booked (Adriano Correia - 83' )
Substitutes 13 Pinto05 Puyol 21 Adriano Correia 04 Fabregas 25 Song 09 Sanchez
- 37 Cristian Tello
AC Milan
32 Abbiati05 Mexes Booked 17 Zapata 10 Boateng Booked 16 Flamini Booked (Bojan - 75' ) 18 Montolivo 20 Abate 21 Constant 23 Ambrosini (Muntari - 60' 92 El Shaarawy 19 Niang (Robinho - 60' )
Substitute 01 Amelia 02 De Sciglio 25 Bonera 04 Muntari 08 Nocerino 07 Robinho 22 Bojan
Ref: V Kassai
Att: 96,000
No comments:
Post a Comment