Ndiye mchezaji pekee anaye shikilia Takwimu hiyo ni moja kati ya wachezaji wanne ambao wamewahi kufunga magoli katika mechi moja
Lakini Takwimu hii imevunjwa na mshambuliaji wa Brazil Ronaldo De lima El fenomen , ambaye amefunga magoli 15 lakini katika fainali Tatu za kombe la dunia tofauti na fontaine ambaye alifunga kwenye fainali moja , Gerd Müller yeye amefunga goli 14 katika fainali mbili na Miroslav Klose
kutoka ujerumani naye akifunga katika fainali tatu za kombe la dunia ambaye pia amefunga goli 14 .
Japokuwa ufaransa haikushinda kombe la dunia mwaka 1958 , Fontaine amekuwa mchezaji wa pili kufunga katika kila mechi ya kombe la dunia baada ya Alcides Ghiggia .

Japokuwa alizaliwa Marrakech, alikwenda Casablanca, na kujiunga na chuo cha Lycée Lyautey.
Fontaine alianza kucheza soka ya ridhaa USM Casablanca, ambapo alichezea mwaka 1950 hadi 1953. Nice limchukua mchezo huyo na kumpa mafunzo ya soka mwaka 1953, na baada ya kupata mafunzo hayo alifunga magoli 44 katika msimu mitatu aliyochezea klabu hiyo .
Mwaka 1956, alijiunga na Stade de Reims ambapo alikutana na mfaransa mwingine ambaye pia ni mzaliwa wa Moroco Raymond Kopa, ambaye baadae alijiunga na Real Madrid mwaka 1958, Fontaine akauacha tabia yake ya kufunga magoli kwani alifunga magoli 121 katika mismu sita akiwa na Stade de Reims

Kwa ujumla Fontaine alifunga magoli 165 katika mechi
200 za Ligue 1, na akishinda kombe la nchi hiyo ; 1958 na 1960.
akiwa na jezo ya ufaransa , Fontaine' anaonekana kuwa bora zaidi . katika mechi ya kwanza iliyochezwa Tar 17 December 1953, Fontaine alifunga mabao matatu pale ufaransa ilipoikung'uta Luxembourg mabao 8–0. katika miaka saba alifunga mabao 30 katika mechi 21 katika timu ya taifa .
lakini yoote hayo , Fontaine atakumbukwa daima katika fainali za kombe la dunia mawaka 1958 FIFA World Cup kwa kuonyesha uwezo wa hali ya juu , kwa kufunga mabao 13 katika mechi sita tu —Huku mabao manne akiwafunga mabingwa watetezi Ujerumani Magharibi na kwa wakati huo ilikuwa takwimu kubwa zaidi kuwekwa hasa ya magoli mengi katika mecho moja Takwimu ambayo haijafungwa mpaka Leo . na ilimpatia ufungaji bora na kupewa kiatu cha dhahabu katika mashindano hayo .

Fontaine alicheza mechi yake ya mwisho mwaka 1962 Mwezi july , na alilazimika kustaafu soka akiwa na miaka (28 na miezi kumi na moja ) kwa sababu ya majeraha,japokuwa alirejea kiwanjani mwaka 1967, Lakini aliweza kucheza mechi mbili ambazo zote zilikuwa za kirafiki na waliishia kufungwa .
Akiwa Mkufunzi wa soka wa Morocco, aliiongoza timu hiyo ya taifa ya kushika nafasi ya tatu mwaka 1980 katika mashindano ya mataifa ya afrika , Badou Zaki, Mohammed Timoumi na Aziz Bouderbala. Morocco iilikaribia kufuzu kombe la dunia 1982 lakini ilifungwa na Cameroon.

Pelé ni moja katika wachezaji magwiji 125 ambao wako hai ambapo March 2004 alipewa nafasi ya Kumtunuku kuwa mchezaji wa miaka hamsini iliyopita katika soka la Ufaransa baada ya shirikisho la soka la ufaransa kumpa heshima hiyo .
Mchezaji huyu aliwa kuandaliwa kipindi maalum cha runinga na gwiji la soka la uingereza Gary Lineker akimfanya mahojiano nae kuhusu maisha yake ya kandanda
lakini katika mechi ya nusu fainali brazil ilishinda baada ya ufaransa kucheza wakiwa pungufu katika dakika ya 36 mchezaji wa ufaransa Vava alitoka baada ya kuumia mguu hakukuwa na sheria ya kubadilisha mchezaji kwa wakati huo na ufaransa ililazimika kucheza pungufu kwa muda wote uliobaki .

No comments:
Post a Comment