Andrés Escobar Saldarriaga (13 March 1967 – 2 July 1994), Jina la utani " Kijana wa Kandanda ",ni raia wa Colombia na mchezaji ambaye aliuawa kwa kupigwa Risasi huko Medellín. na inaaminika aliuawa kwa ajili ya kujifunga mwenyewe katika fainali za kombe la dunia za mwaka 1994 Dhidi ya timu ya soka ya taifa ya Marekani ambao ndio waliokuwa wenyeji wa michuano hiyo na walikuwa wa kiaandaa kwa mara ya kwanza na ubingwa kutwaliza na Brazil
Escoabar inawezekana mpaka anakufa alikuwa hajui kuwa ameshika mamilino ya watu kwenye mguuu wake ambapo vijana kadhaa walikuwa wakicheza mchezo wakubahatisha kinyemela mchezo uliokuwa unaendeshwa na wauza madawa ya kulevya nchini humo .
Andrés Escobar bado ni alama kubwa ya soka hasa kwa Wananchi na mashabiki wa Colombian, na mpaka leo hii anakumbukwa hasa na mashabiki wa Atlético Nacional's . Kaka yake , Santiago, anamiliki timu kadhaa . Andrés anajulikana kama "Life doesn't end here".yaani maisha hayaishiii hapa.
Kijana huyu amakulia katika familia ya kati ambapo baba yake Dario Escobar, alikuwa akifanya kazi Bank na alipata nafasi ya kukusanya baadhi ya vijana wanaozagaa mtaani na kuunda timu yake kucheza soka .Baada kifo cha Escobar , Familia iliaanzisha mradi uitwao Andrés
Escobar lengo kuu likiwa ni kuwapa faida watoto ambao wameshindwa maisha na kuanza kucheza mpira kama ajira kwao kaka yake , Santiago, alishinda kombe la Mustang akiwa na Atlético Nacional.
aliwahi kusoma katika chuo cha Calasanz na kuhitimu mafunzo na kuingia katika taasisi ya Conrado Gonzalez. aliishiriki katika timu za shule na aliweza kuwa mchezaji wa kulipwa ,mpaka anakufa Escobar alikuwa mahusiano ya na mchumba wake ambaye ni mganga wa meno . Escobar aliuawa mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.
Escobar alikuwa mlinzi mahiri Colombia katika michuano ya kombe la dunia miaka ya 1990 na 1994. Huku akivalia jezi namba 2, na alipewa jina la utani la "El Caballero del Futbol" yaani kijana mtanashati wa soka ambapo alicheza vilabu . Atlético Nacional na Young Boys Bern.ya uswis alikuwa akijuliakana kwa mabao yake maridadi ya vichwa alianza kucheza soka ya kulipwa mwaka 1988 akiwa na miaka 21 , na aliisaidia Nacional kushinda kikombe cha Copa Libertadores mwaka 1989.
Lakini ukimtazama Escobar wakati mpira unaingia wavuni katika marejeano ya picha za runinga ni dhahiri anasikitika kwa timu yake kuyaaga mashindano bila kujua kuwa nyumbani kumechezwa kamari ya kubahatisha nani mshindi? na magenge ya wahuni ambao hivi karibuni hata uefa shirikisho la soka la ulaya lilikili kuwa kuwa kuna baadhidi ya mechi zilikuwa zinahushwa na upangaji wa matokeo zipo kamari ambazo zinachezwa ndani sheria na zisizochezwa ndani ya sheria lakini hizi za kiholela ndizo mbaya mbaya zaidi kwani mchezaji anaweza kuwa matatani au viongozi wa timu kwani watu wengi uamua kuchukua sheria mkononi pasipo kufikili kama timu zimefanya makusudi au la .
Mambo ya upangaji wa matokeo yanaweza kuonekana ni jambo la kawaida kwa baadhi ya sehemu lakini husababisha matatizo kwa pande mbili aidha timu na wachezaji kufahamu wanachokifanya kuhusu kamari au wasiwe na wanajua lolote kuhusu nini kinaendelea nje ya kiwanja au makasino lakini yote haya huja baada ya tatizo kutokea labda tujiuliza Kwa dakika tano Mungu angemrejesha Duniani Escobar unafikili angesamaje kuhusu kamari za soka .
Nafikili ifike wakati kiundwe chombo aminifu cha kuchunguza matukio ya soka hasa katika matokeo ya mechi kubwa duniani kwani zipo baadhi ya Timu hufungwa magoli ya kushangaza pasipo kutegemea .
No comments:
Post a Comment