Mshambuliaji wa Simba Haruna Chanongo
akipiga pasi huku beki wa Coastal Union Mbwana Hamis wa Coastal Union wa mchezo
wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union(pallanjo picture) |
Timu ya soka ya Simba leo imeanza kupata fahamu baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-1 kwenye mchezo
wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na kufufua matumaini ya kulejea katika hari ya kawaida kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa leo.
Baada ya kushinda mechi ya leo , Simba SC inafikisha alama 34, baada ya kucheza mechi 19, na kubaki nafasi ya tatu, nyuma ya Azam FC yenye alama 37, wakati Yanga inaongoza kwa alama 45.
Hadi nusu ya kwanza inamalizaka Simba SC walikuwa mbele kwa mabao 2-0.
Coastal walianza kipindi nusu ya pili ya mchezo , wakipeleka mashambulizi mfululizo langoni mwa Simba lakini Abel Dhaira aliweza kupangua mashuti ya washambuliaji wa Coastal
Mrisho Khalfan Ngassa alifungua karamu ya ushindi kwa Simba dakika ya kwanza ya muda wa nyongeza, baada ya kumchambua kipa Shaaban Kado, akimalizia pasi safi ya Rashid Ismail.

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la
kwanza lililofungwa na Mrisho Ngassa wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya
Coastal Union uliochezwa uwanja wa Taifa (pallanjo picture) |
Haruna Chanongo alipigilia msumari wa pili kwenye ‘goli ’ la Coastal
kwenye dakika ya tatu wa muda nyongeza akimalizia kazi nzuri ya Ngassa,
kufuatia shambulizi la kushitukiza.
Kipindi cha pili, Coastal walianza kwa kasi na kufanikiwa na kupata bao la kufutia machozi dakika ya 50, lililofungwa na kiungo Razack Khalfan aliyeunganisha krosi ya Twaha Shekuwe.
Simba SC ilichelewa kuingia uwanjani na kukosa hata muda wa kupasha misuli, kutokana na matatizo ya kufungiwa hotelini.

Kikosi cha Simba SC; Abel Dhaira, Nassor Masoud
‘Chollo’, Miraj Adam, Hassan Hatibu, Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Amri
Kiemba, Rashid Ismail, Abdallah Seseme, Haruna Chanongo na Mrisho
Ngassa.
Coastal Union; Shaaban Kado, Hamad Hamisi, Abdi Banda, Mbwana Hamisi, Philip Mugenzi, Razack Khalfan, Daniel Lyanga, Mohamed Athumani, Deangelis da Silva, Suleiman Kassim ‘Selembe’ na Joseph Mahundi

No comments:
Post a Comment