Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Mzee` Yusuf Mzimba,
mmoja wa wazee marufu wa Klabu ya Dar es salaam Young Africans (YANGA)
ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiuguza
majeraha kufuatia kugongwa na BodaBoda wiki iliyopita Barabara ya
Nyerere jijini Dar es salaam. Mzee Mzimba amevunjika mguu wa kushoto na
kupata majeraha ya usoni na mikononi. Hadi jana hali yake ilikuwa
inaendelea vyema na Rais Kikwete amempa pole nyingi kwa maumivu
aliyoyapata na kumtakia
nafuu ya haraka.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment