Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekanusha taarifa kuwa yuko mbioni kumrejesha kiungo wa klabu ya Barcelona Alex Song kurudi tena arsenal wakati wa kiangazi.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa cameruni amesema kuwa hana furaha ya tangu ajiunge na klabu ya soka ya Barcelona na amekuwa akikalia benchi tangu alipojiunga kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni kumi na saba na angependa kuondoka katika klabu hiyo
Mpwa wa mchezaji huyo , Rigobert Song amesema jana jumatano kuwa Alex hana furaha na Barcelona na anaonekana kutaka kurudi katika klabu yake ya zamani ya aresnal lakini Wenger anaonekana hafikirii kuwa jambo kama hilo linawezekana hivi karibuni
“Hakuna mapango wa kumrejesha tena hivi karibuni . Nimeskia kuwa anataka kusaria kwa msimu mmoja zaidi ni mchezaji wa kiwango bora zaidi duniani
No comments:
Post a Comment