Lewandowski ni mchezaji mpya wa Bayern' munich baada ya kusainishwa kwa mchezaji wenzie kutoka Borusia , Mario Götze.
Wakala wa kocha wa BVB Heynckes' , Enrique Reyes, amethibitisha hilo alipokuwa akizungumza na mtandao wa
'Cope' radio . "anazifanya timu pinzani kuwa na wakati mgumu ," Kocha huyo wa BVB ameyasema hayo japokuwa amefanikisha mechi ya mkondo wa kwanza dhidi ya wapinzani wao Barcelona, Heynckes ambaye haonekani kuwemo katika nafasi yoyote kwenye timu hiyo msimu ujao : "kwa sasa jina lake linavuma nje ya ulaya, lakini kwa sasa anaoneka atakwenda mapumziko kama bayern itafuzu fainali ambayo tayari inaonekana kama mguu mmoja ushaingia ndani mara baada ya kuongoza kwa mabao manne .", Heynckes anaonekana kuweka wazi kuwa angependa kucheza na Real madrid katika uwanja wa wa Wembley: "Kucheza na Real Madrid itakuwa ni fainali ambayo tuliitarajia ndotoni aliongeza Enrique Reyes.
No comments:
Post a Comment