Waumini
wa dini ya Kiislamu wakibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Fatma
Baraka 'Bi Kidude', wakati wakiingiza jeneza hilo Msikiti wa
Mwembeshauri, kwa ajili ya kuswaliwa kabla ya kuelekea kijijini kwa
marehemu, Kitumba Wilaya ya Kati kwa maziko, mchana h
Wengi walitaka kujionea ili kuthibitisha habari za kifo chake.
Inaaminika alikuwa na zaidi ya miamoja na alikuwa mtumbuizaji wa nyimbo za Taarabu
Aliendelea kutumbuiza wengi licha ya umri wake.
Mnamo mwaka 2005, alituzwa kwa mchango wake katika fani ya muziki wakati wa mkusanyiko mkubwa wa wanamuziki duniani
Mamia ya wanawake waliomboleza nyumbani kwake kabla ya mwili wake kupelekwa kwa maombi kisha mazishi.
Alizikiwa kijijini kwao Kitumba, ambako rais Jakaya Kikwete alitoa heshima zake za mwisho.
Duru zinasema Bi Kidude alitumbuiza wengi na watu walimpenda kwa miondoko yake.
Inaarifiwa Bi Kidude alianza kuimba taarabu mwaka wa 1920
Siku rasmi ya kuzaliwa kwa Bi Kidude haijulikani lakini kuna tetesi liwa alizaliwa mwaka 1910.
uu.
Viongozi wa Tanzania na Zanzibar walikuwa miongoni
mwa waombolezaji waliohudhuria mazishi ya mwanamuziki mkongwe wa
Kisiwani Zanzibar Fatma binti Baraka, aliyesifika kama Bi Kidude.
Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela anasema kuwa watu wengi, walikuwa na majonzi kwani wengi walimuona kama bibi au nyanyaoInaaminika alikuwa na zaidi ya miamoja na alikuwa mtumbuizaji wa nyimbo za Taarabu
Aliendelea kutumbuiza wengi licha ya umri wake.
Mnamo mwaka 2005, alituzwa kwa mchango wake katika fani ya muziki wakati wa mkusanyiko mkubwa wa wanamuziki duniani
Mamia ya wanawake waliomboleza nyumbani kwake kabla ya mwili wake kupelekwa kwa maombi kisha mazishi.
Alizikiwa kijijini kwao Kitumba, ambako rais Jakaya Kikwete alitoa heshima zake za mwisho.
Duru zinasema Bi Kidude alitumbuiza wengi na watu walimpenda kwa miondoko yake.
Inaarifiwa Bi Kidude alianza kuimba taarabu mwaka wa 1920
Siku rasmi ya kuzaliwa kwa Bi Kidude haijulikani lakini kuna tetesi liwa alizaliwa mwaka 1910.
uu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika
dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka 'Bi Kidude', iliyofanyika
mchana huu katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude
anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati,
Unguja.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Ramadhan Nasib (kulia)'Diamond Plutnum',
akiwa ni mmoja kati ya wasanii waliohudhuria katika dua maalum ya
kumswalia marehemu Fatma Baraka 'Bi Kidude', iliyofanyika mchana huu
katika Msikiti wa Mwembeshauri, mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia
kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati, Unguja.
Mamia ya watu wakiwa nyumbani kwa kidude tayari kuelekea msibani
No comments:
Post a Comment