HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 April 2013

QATAR YAFANYA KUFURU YA TECHNOLOGIA VIWANJA ,2022 YANAWEZA KUWA MASHINDANO GHARI YA DUNIA KUPATA KUTOKEA NI KUFURU YA AINA YAKE HAIJATOKEA KABISA !


 Qatar  Inajaribu kukimbizana na maendeleo ya kitechnologia hasa kwa kutumia nyenzo za kufua umeme wa nguvu za jua ili kutengeneza hari ya baridi kiwanja hasa katika fainali zijazo za kombe la dunia zitakazo fanyika nchini Qatar mwaka 2022 huko mashariki ya mbali hasa katika wakati wa kiangazi ambao husaidikiwa kuwa na joto kupita kiasi ambapo mkuu wa kamati ya maandalizi ya michuano ya amesema hayo

Nasser Al-Khater, ambaye ni mkuu wa mawasiliano na mkurungenzi wa masoko aliongeza kuwa baada ya  viwanja hivyo kukamilika na kuvitumia nchi yake itavigawa kwa nchi maskini ambazo havina miundo mbinu mizuri ya kimichezo

Al-Khater amesema kuwa utajiri wa emirates umeongezeka kutokana na viwanja ambazo kwa mara ya kwanza vitakuwa vinabadilisha hari ya hewa kwa mara kwanza katika dunia ya soka , hasa katika jiji la albeit ambapo wakati wa kiangazi joto hufika hadi nyuzi 40 katika miezi ya kiangazi .

"Tumeshawaonesha  (shirikilisho la dunia) FIFA  jinsi teknologia inavyofanya kazi tulipokuwa nje kulikuwa na joto na tulipoingia ndani walitafuta makoti ," Al-Khater aliongeza alipokuwa katika maonesho ya kibiashara kutoka Qatar kwenda Berlin na uwekezaji wa kibiashara wa  Qatar.

"kwa hiyo kupoza kiwanja sio tatizo ."
ili jambo ambalo ndilo qatar tuliloahidi nafikiri tumeshakaribia kulitekereza na tutawekeza mifumo katika viwanja kumi na mbili  
12 Al-Khater.

"kama hautavitumia kiwanja utavitumia katika maendeleo mengine ," .
Tunafanya haya kwa sababu tumesikia sauti nyingi hasa kutoka Rais  UEFA  Michel Platini ambao walitaka kombe hili lichezwe mwezi January ambapo joto huwa ni nyuzi 17 tofauti na katikati ya mwaka .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers