Rais wa Brazil' Rousseff na Gavana wa Brasilia's Queiroz wamehudhuria sherehe za ufunguzi za kiwanja cha Mane Garrincha nchini Brazil |
Rais wa Brazil Dilma Rousseff ,na Waziri wa michezo wa nchi hiyo Aldo
Rebelo,na Gavana wa wa jimbo hilo , Agnelo Queiroz walikuwepo katika tukio la ufunguzi wa kiwanja cha mane Garincha ...kiwanja cha Mane Garrincha ni kiwanja ambacho kilitengenezwa ,mwaka 1974,kimetengenezwa tena na kujengwa upya mwaka na kufunguliwa usiku wa kuamkia leo, , na kitatumika kwa mara kwanza katika mashindano ya jimbo hilo katika fainali ambayo itakutanisha timu zinazoshiriki kombe la jimbo hilio.Aidha uwanja huo pia utatumika katika mashindano ya mabara ya fifa kuanzia Jun 15.
.
Kiwanja hicho kinaingiza watu 71,000 ,na viti vimewekwa umbali wa mita saba nukta tano kutoka sehemu ya kuchezea
Kiwanja hicho kinaingiza watu 71,000 ,na viti vimewekwa umbali wa mita saba nukta tano kutoka sehemu ya kuchezea
No comments:
Post a Comment