Mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba amewekeza kwenye mgodi wa dhahabu Nchini kwao Ivory Coast ,Dalili zinanyesha tangu nchi hiyo iondokane vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyokuwa ikipiganwa kwa zaidi ya muongo mmoja na kumalizika mwaka 2011 .
Drogba, ambaye kwa sasa anachezea timu ya Galatasaray baada ya kutumikia miaka nane katika timu ya chelsea kandarasi iliyomalizika mwaka uliopita , atakua akichukua asilimia tano waziri wa mawasiliano wa nchi hiyo
Bruno Kone amesema wiki hii .
Hakuna taarifa zozote za kifedha katika dili hiyo ,Ambayo ni moja ya kati makubaliano ya kifedha na kampuni ya Canada ambayo imeongeza hisa katika mgodi huo ,huku kampuni ya taifa ya nchi ikiuza moja kati shea zake .
Drogba ni shujaa wa kitaifa hapa nyumbani, ameiongoza Ivory Coast katika michuano ya kwanza ya kombe la dunia nchini Ujermany mwaka 2006.
maisha yake ya kisoka pale Chelsea yana maana kubwa hasa baada ya ushindi dhidi ya Bayern Munich katika ligi ya mabingwa barani ulaya ,na kufunga penati ya ushindi.
na amefanya vitu vingi vya kiubinadamu , hasa kusaidia kupunguza fujo katika serikali na waasi kaskazini mwa nchi hiyo .
Kone anasema kuwa mgodi wa
Ity ulikuwa umeanza kudhoofika mara baada kufa kimiuondo mbinu.'
Sodemi inazalisha aslimia 14 kati ya
arobaini na nne 44, na kampuni ya Canada La Mancha inazalisha
asilimia 55 baada 46 , ambao ni mgodi uliopo magharibi mwa nchi karibu
kabisa na Nchi ya Liberia na ndio Mgodi mkongwe kabisa nchini humo .
Mwenyekiti
wa La Mancha
Naguib Sawiris -Ambaye ni tajiri wa kutoka Masir ambaye anajuliakan na
kampuni yake ya usafi wa mazingira amesema kuwa mgodi uliuokuwa
ukimilikwa na kampuni hiyo toka mwezi March mwaka huu .kwa hiyo ni jambo
jema kwa mchezaji huyu kuwekeza hapa
Ity gold mine facts
Location: 700km west of Abidjan, Ivory Coast
No comments:
Post a Comment