Mwenyekiti wa baraza la vyama vya
soka afrika mashariki na kati CECAFA Leodgar Chila Tenga amesema kuwa wanasubiri kauli ya serikali ya
Jamhuri ya muungano kuhusu kupeleka timu katika mashindano ya kombe la kagame
yanayotarajiwa kuanza katika ya mwezi huu.
Amesema kuwa hata yeye anaskia tu
kuhusu baadhi ya timu kujitoa katika mashindano hayo amezungumza hayo leo katika ofisi za shikisho
la soka la Tanzania Tff mpenzi msomaji wa DUNIA YA MICHEZO tunakupa fursa ya
kusikiliza mahoajiano yake na waandishi wa habari aliyoyafanya Mwenyekiti wa
CECAFA Leodgar Chila Tenga
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment