Fraizer Campbell Amepeleka Furaha ndani ya klabu ya Cardiff na kuifanya Timu hiyo kupata ushindi wa kwanza wa Ligi ya Ptremier ya Uingereza Baada ya kuwafunga mabingwa wa zamani wa uingereza Manchester City.
Edin
Dzeko alionekana kutingisha kibiriti baada ya kufunga goli lilomfanya kocha wa City Manuel Pellegrini's aone kama Alama tatu muhimu ziko upande wake kwani zilikiuwa dakika chache tu baada ya kipindi cha pili kuanza lakini
Cardiff walirudi Mchezoni Baada ya Aron Gunnarsson kufunga goli kwa shuti kali , Na baadae Campbell Kufunga bao mawili na kuifanya Cardiff City kuibuka kidedea katika uwanja wa Nyumbani .
Match facts
Cardiff City:
Marshall 6; Connolly 6, Caulker 7, Turner 7, Taylor 6; Bellamy 6
(Cowie,83mins), Gunnarsson 7, Kim 7 (Mutch, 90mins), Medel 7,
Whittingham 6; Campbell 8 (Cornelius, 90mins)
Subs not used: Lewis, Hudson, Noone, Maynard
Goals: Gunnarsson 60, Campbell 79, 87
Manchester City:
Hart 7; Zabaleta 4, Garcia 4, Lescott 5, Clichy 6; Navas 6 (Nasri,
55mins 5), Fernandinho 6 (Milner, 77mins 5), Toure 6, Silva 7; Aguero 6,
Dzeko 7 (Negredo, 69mins 6)
Subs not used: Pantilimon, Kolarov, Nastasic, Rodwell
Goals: Dzeko 52, Negredo 90
Ref: Lee Probert
Att: 27, 068
*
Alvaro Negredo aliifungia City katika muda wa Nyongeza , Lakini halikusaidia kwa muda ulikuwa Umekwisha kwenda Magharibi.
Wachache sana waliwapa nafasi ya ushindi mabingwa wa ligi Daraja la kwanza ushindi huku wakipambana na timu iliyotoka kuing'uta Newcastle bao nnee sifuri .
Lakini Vijana wa Malky Mackay's walionyesha uwezo wa hari ya juu , paka filimbi ya mwisho inapulizwa,
Mashabiki wa United waliovaria Rangi tofauti na za kupendeza walioshangilia kwa ustadi huku wakiiga ushangilia wa Man City .
Kwa Pellegrini, ni fundisho na kumbusho kwake kuwa haitakuwa kazi rahisi kwake , Baada ya kuonyesha mchezo Mmbovu na City haijashinda katika mechi zake tatu ilizocheza kusini mwa Wales.
Wapi Fernandinho
Aron Gunnarsson's anasawazisha Goli
Kichwa kinauma
Woooooooooooow
No comments:
Post a Comment