Nelson Madiba Rolihlahla Mandela Rais wa kwanza mweuzi wa afrika kusini ambaye amefariki Dunia usiku wa Desemba 5
Msiba
huu ni mkubwa katika familia ya mpira wa miguu kwa Afrika Kusini,
Afrika na Dunia kwa ujumla kutokana na mchango mkubwa wa Mzee Mandela
katika mchezo huu.
Mzee
Mandela anakumbukwa kwa mchango wake katika Fainali za Afrika (AFCON)
zilizofanyika mwaka 1996 nchini Afrika Kusini na hata zile za Kombe la
Dunia zilizofanyika nchini humo mwaka 2010.
TFF
tunatoa pole kwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA),
Danny Jordan, na wananchi wa Afrika Kusini na kuwataka kuwa na subira
na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba huo mzito.
Ulimwengu wa Michezo umetoa shukrani za kipekee kwa mpiganaji wa kweli wa ubaguzi wa rangi shujaa wa kweli Nelson Rolihlahla Mandela,ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 95.
Rais wa Africa kusini Jacob Zuma aliutangazia umma usiku wa jana kuwa Rais wa kwanza mweusi wa afrika kusini Ametangulia mbele ya haki
Ni mmoja kati wa watu mashuhuri zaidi katika michezo katika ardhi ya afrika kusini na duniani kwa ujumla rais huyo wa zamani amekuwa akitoa mchango wake mkubwa katika tasnia ya michezo
Tiger Woods, Mchezaji namba moja kwa ubora wa mchezo wa Golf Duniani anasema kukutana Mandela ilikuwa moja kati ya jambo ambalo sikuwahi kulifanya katika maisha yangu "".
"Sidhani kama kati yetu asingeweza kushukuru kufanikiwa katika jambo kama hilo .Kuliongoza taifa na kupendwa na Dunia hii inaonyesha yeye ni nani ? ," Aliongeza .
Na Bingwa wa zamani wa Dunia wa Mchezo wa Ngumi Muhammad Ali : "Alikuwa mtu aliyetafuta maisha akiwa na sababu Namatumaini ; Tumaini kwake yeye Binafsi ,Nchi yake na Duniani .
"Aliwavutia watu kwa kuwaonyesha kuwa wanaweza kupata lile walilodhani kuwa aliwezekaniki na sasa linawezekanika."
Taswira ya Mandela Akibadhi Taji la Webb Ellis Springbok rugby - kama muandaaji na bingwa wa mashindano hayo mwaka 1995 Rugby World Cup - ni jambo linaloonekana kuwa la kihistoria zaidi pale alipoileta Nchi pamoja .
Joost van der Westhuizen,ambaye alicheza fainali ya Mchezo huo amesema ni,siku ya uzuni kwa Nchi yetu alale salama Madiba. na salamu nyingi za pole kwa familia yake ."
Wanamichezo wetu wa afrika kusini tunatoa salamu za rambirambi kwa mzee Mandela anasema . Golfer Ernie Els : "Ni siku ya Uzuni sana .Ni siku ya Uzuni sana kwa afrika kusini na Duniani kwa ujumla .Tumepoteza moja kati ya Viongozi bora zaidi katika kipindi hiki .
"Hakuna jambo baya ambalo amelifanya kijana huyu .Alipigania kwa lile aliloliamini ,Alikwenda jela kwa miaka mingi na alitoka kuja kuliongoza taifa ni baba wa taifa letu na baba wa bara la afrika
.
". Ni huzuni kubwa sana kwa kuwa alitakiwa kwenda .
"Alikuwa na miaka95 na ameishi maisha marefu na alikuja kutimiza yale aliyotaka kayala kwa muda mfupi."
Rais wa Mchezo wa Cricket Africa kusini Chris Nenzani anaongeza : "Katika Demokrasia ya kweli Mandela ametuachia azina ya kizazi na kizazi ambayo watajivunia siku zote .
"Ulimwengu wa michezo utamkumbuka kwa kuunganisha watu kupitia michezo nakuwafanya watu weusi na weupe kucheza kwa moja .".
Usain Bolt : "Ni moja kati ya watu wakubwa ambao siku wahi kuwaona ameondoka ..Roho yake ilale pahala pema peponi na kwa amani ..ni moja kati ya wapiganaji wakubwa …"
Mwendesha magari wa uingereza F1 Lewis Hamilton alichapisha pii katika kurasa yake ya kui alipokutana na Mandela huku akiacha ujumbe: "Moja kati ya vitu vikubwa maishani mwangu ni kukutana na Madiba. ni moja kati ya watu wa kusisimua ambao wamewahi kuishi Duniani & Bila shaka ni moja kati ya watu Bora zaidi ambao nimewahi kukutana nao .Nitamkosa,Tutakukosa Madiba. Mungu akupumzishe salama Upendo wako uishi kama baba alivyompenda mwanae .Pumzika salama .

No comments:
Post a Comment