HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 July 2014

BRAZIL KUKUMBUSHA FAINALI YA 2002 DHIDI YA UJERUMANI

Brazil v Colombia
 
Brazil Imeichakaza Colombia's licha ya kurejesha Goli moja na kutinga hatua ya Robo nusu fainali ambapo sasa watakutana na Timu ya soka ya taifa ya Ujerumani magoli yaliyofungwa na nahodha Thiago Silva na  David Luiz. 

Wenyeji walichukua dakika sita kupata Goli la kwanza pale Neymar's alipopiga kona na kumkuta Nahodha  Silva, ambaye alitumia goti lake kufunga . 

Brazil ilipata goli la pili katika dakika ya sabini na tano baada ya Luiz alipopiga mzuri wa adhabu ndogo kwa shuti kali .
Colombia ilisawazisha goli kupitia kwa penati ya  James Rodriguez .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers