Argentina imetinga nusu fainali kwa mara baada ya miaka ishirini nne na kutinga nusu fainali kwa mara ya kwanza Tangu mwaka 1990 Baada ya Gonzalo Higuain's kufunga goli la mapema na kuifungashia Ubelgiji kurejea Nyumbani .
Higuain aliunganisha passi iliyoparazwa na Angel Di Maria's alifunga goli kwa uparaza kwa pembeni kwa yard 15 .
Mchezaji huyo Napoli aligogesha mwamba baada ya kupiga shuti katika kipindi cha ,matukio haya yalitokea Kabla ya Marouane Fellaini kuunganisha mpira wa kichwa na hiyo ndio ilikuwa nafasi pekee kwa ubelgiji .
Sasa Argentina itapambana na mshindi kati ya Netherlands au Costa Rica ili kupata mshindi wa kucheza fainali .
No comments:
Post a Comment