Nahodha wa Timu ya soka ya Tanzania amesema atajiskia raha sana Endapo Taifa stars itacheza katika uwanja wa Aman .
Amesema Tangu uwanja wa aman ufunguliwe hajawahi kucheza katika uwanja huo na anatamani siku moja Taifa stars iende ikacheze unguja na ana imani kuwa Viongozi wa vyama vya soka ZFA na TFF wakikaa pamoja na kama kimiundo Mbinu itawekwa Vizuri basi hakuna kisichowezekana
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment