Timu ya soka ya Ujerumani imevunja mwiko wa kuchukua kwa mara ya nne Kombe la Dunia  tena katika ardhi ya Brazil mara baada ya Mario 
Gotze's kuifungia ujerumani katika Dakika za nyongeza na kuipatia Ushindi za Dhidi ya  Argentina katika  michuano hiyo iliyofika tamati usiku wa manane kwa saa za afrika mashariki na kufika tamati leo hii .
  
          
    Mchezaji wa Ujerumani  Andre Schurrle's akitokea kwenye Benchi na kupiga Krosi na kumkuta mfungaji na kutuliza kwa kifua na kumalizia mpira kwa Volley huku zikiwa zimesalia dakika saba mpira kumalizika . 
    Timu zote Mbili zilipoteza nafasi katika Dakika za kawaida ,Huku wachezaji wa Argentina's Gonzalo Higuain na  Lionel Messi wote walishia kupiga mashuti nje ya goli.
  
          
    Benedikt Howedes alipiga kichwa kilichokwenda kugonga mlingoli wa Goli katika kipindi cha kwanza, lakini ni Gotze Ndiye aliyelipua Shamra shamra za kwa wajerumani  
Mshindi wa Kombe la Dunia na Mchezaji wa Brazil's Pele siku zote anapokuwepo ni lazima camera zimuangazie - akiwa pamoja na  Kaka na Mchezaji wa Zamani wa Uingereza   David Beckham.
AKNOWLEDGE BBC PICTURES
 
 
 
No comments:
Post a Comment