Goli la kusawazisha katika dakika za mwisho lilofungwa na Martin Demichelis limeipatia Manchester City point moja Dhidi ya Arsenal katika mechi iliyochezwa mapema mchana wa leo na iliyokuwa ya kuvutia .
Mabingwa watetezi walipata Goli la kuongoza kupitia kwa Sergio Aguero's
aliyefunga akipokea Krosi kutoka kwa Jesus Navas's baada tu ya mchezaji mpya wa Danny Welbeck kugongesha mlingoti katika siku yake ya kwanza ya mechi hii akiwa na jezi za Arsenal.
Washika Bunduki walipigana na baadae Jack Wilshere's alifunga goli zuri zaidi akiuganisha Voli kutoka kwa Alexis Sanchez.
Lakini uzembe wa kutomkaba Demichelis aliunganisha mpira wa kona , na city mara mbili waligongesha mwamba kabla ya mpira kumalizika .
No comments:
Post a Comment