Kiungo wa kati wa Uispania Cesc Fabregas amesema amejikita kikazi katika klabu ya soka ya Chelsea,
lakini ataendelea kuwa mshabiki wa moyo wake wote wa Arsenal .
Mchezaji wa huyo wa zamani wa washika Bunduki wa London na nahodha wa zamani wa timu hiyo anajiskia sawa kufanya kazi akiwa chini ya Kocha mreno Jose
Mourinho,huku Arsenal ikiamua kutomnunua tena kiungo kutoka Barcelona
kurudi kwenye Dimba la Emirates .
Fabregas, 27, alijiunga Arsenal akitokea klabu iliyomlea tangu utotoni na kuendelezwa kuwa moja kati ya Viungo bora zaidi Duniani , Kabla hajarudi Nou Camp mwezi August 2011.
alishinda taji la Ligi kuu ya Uispania, Kombe la Mfalme na Kombe la Dunia miaka mitatu iliyopita katika timu ya taifa ya Uispania , Kabla hajaamua kurudi katika ligi kuu ya uingereza katika klabu ya Chelsea.
Katika mahojiano na Gazeti la Uispania( El Pais),yaani Nchi hii Fabregas alielezea hisia zake kwa Arsenal na kuwa haitambadilishia hata kama atashinda kila kitu akiwa na vijana wapya kutoka katika jiji la London Chelsea.
"Unadhani sikufikiria jambo hilo [Kuchezea wapinzani wa Arsenal's ambao ni Chelsea]. mimi nitakuwa mpenzi wa Gunner katika maisha yangu yote na Najua nitarudi katika mitaa ya Highbury [kwenye uwanja wa Emirates] na [itakuwa ] wakati maalum ,lakini kwa sasa nipo kikazi zaidi ," Fabregas .
"Na kukumbusha kuwa Nilicheza fainali ya klabu bingwa ulaya na klabu yangu zamani nilipokuwa arsenal dhidi ya Barcelona
[nikiwa na Arsenal]na Niliaapa kuwa ningefanya chochote kushinda mechi ile – na nimekuwa mshabiki wa Barcelona Tangu nilipokuwa Mtoto .
"Kwa hiyo nitakapocheza Dhidi Arsenal Nitajua tu kuwa nipo kwenye Timu tofati y
[Kwasasa ] Timu , ambayo nitanacheza ndio ndugu zangu na ndio ninao watetea . N anajua kuwa mashabiki wa Arsenal watanielewa,Na sina shaka na Hilo ."
."
No comments:
Post a Comment