Mshambuliaji Graziano Pelle aliifungia mara mbili Southampton na kuibamiza vibaya kikosi kilichocheza vibaya cha Newcastle katika Dimba la Mtakatifu Mary's .
Mtaliano huyo alifunga goli lake la kwanza katika dakika ya sita ya mchezo alipoungansha kwa Kichwa Krosi ilitokea upande wa Kushoto ikipigwa na Ryan Bertrand's .
Alifunga bao lake la Nne katika msimu huu baada ya maamuzi mabaya ya Mike Williamson katika safu ya Ulinzi ya Newcastle .
Jack Cork alifanya kazi ya ziada baada ya uzembe uliofanywa na Williamson kabla ya Morgan Schneiderlin Kufunga Bao la nne
Diego Costa amefunga magoli matatu katika mechi yake ya Kwanza wakitokea nyuma na kuibamiza Swansea na kuendeleza takwimu yao ya asilimia mia ya ushindi 100% tangu msimu wa ligi kuu uanze .
Swansea ndio waliokuwa wakwanza kupata goli baada ya John Terry kujifunga akiokoa mpira wa Krosi lakini Costa alisawazisha kabla ya Nusu ya kwanza ya mchezo kumalizika .
Chelsea's iliendelea kuwa bora na Costa alifunga akipokea pasi kutoka kwa Cesc Fabregas .
Mshambuliaji huyo wa Uhispania alimtengea mpira Ramires ambaye alipiga shuti lilompita Lukasz
Fabianski na Loic Remy akafunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na timu hiyo lakini Jonjo
Shelvey's alifunga goli la kufutia machozi .
Matokeo mengine katika ligi ya uingereza ni kama unavyoyaona hapo chini
No comments:
Post a Comment