- Mchezaji wa Zamani wa man city na sasa Bayern Munich's Jerome Boateng amefunga goli la ustadi wa Hali ya juu katika Dakika ya mwisho wa Mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi ya timu yake ya zamani ya Manchester City na kuinyima walau alama moja .
Hart aliokoa michomo kadhaa kutoka kwa kina Thomas Muller, Mario Gotze na Boateng.
City's walipata nafasi ya Dhahbu katika Dakika za mwisho wa mchezo pale Sergio Aguero alipomshinda Dante lakini alipiga mpira uliotoka nje kidogo ya goli .
Kwa upande wa Chelsea Cesc Fabregas amefunga goli lake la kwanza katika mashindano ya klabu bingwa barani ulaya lakini halikuweza kumsaidia kocha Jose Mourinho's kupata ushindi baada ya Schalke kusawazisha goli hilo .Kiungo huyo wa Uispania , 27, aliyejiunga akitokea Barcelona majira ya kiangazi alifunga goli hilo akipokea mpira kutoka kwa Eden Hazard's .
Didier Drogba alipiga shuti ambalo lilitoka nje ya goli na baadae Klaas-Jan Huntelaar aliipatia goli la kusawazisha timu yake .
- Bayern Mun 1 - 0 Man City FT
- Roma 5 - 1 CSKA Moscow FT
- Ajax 1 - 1 Paris St G FT
- Barcelona 1 - 0 Apoel Nic FT
- Chelsea 1 - 1 FC Schalke 04 FT
- NK Maribor 1 - 1 Sporting FT
- Ath Bilbao 0 - 0 Shakt Donsk FT
- FC Porto 6 - 0 BATE Bor FT
18 September 2014
BALAA TUPU TIMU ZA UINGEREZA ZATEMBELEA SPANA MKONONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment