Klabu ya Arsenal's imeanza vibaya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya katika kundi D mara baada yaa kutandikwa magoli mawili Dhidi ya miamba ya ujerumani Borussia Dortmund ambao walifunga goli kaika kila kipindi cha mchezo na kujihakikishia Ushindi .
Ciro Immobile alifungua sherehe ya magoli kwa Dortmund Baada ya kumzidi Nguvu Laurent Koscielny na kumfunga mlinda Mlango Wojciech Szczesny kwa shuti ya karibu.
Dortmund waliongeza goli la pili lilofungwa na Pierre-Emerick Aubameyang lakini kwa mara nyingine tena ,
Danny Welbeck alipoteza nafasi ya kufunga kwa arsenal wakati mchezaji mwenzake Aubameyang naye alingongesha mwamba .
Steven Gerrard's alifunga pernati katika dakika za mwisho wa mchezo na na kuipatia Liverpool ushindi wasio utarajia wa magoli mawili kwa moja 2-1 tangu warejee katika ligi ya mabingwa barani ulaya.
Mario Balotelli alifunga goli la kwanza akiwa na jezi ya majogoo akigeuka kwa ufundi na kumfunga mlinda mlango wa Ludo Razgd na kupata goli la uongozi katika dakika ya 82nd-.
Lakini vijana kutoka katika jiji la Sofia nchini Bulgarian waliasawazisha katika dakika ya kwanza ya muda wa nyongeza pale mchezaji aliyeingia kutoka Benchi Dani Abalo kuisawazishia timu yake .
Gerrard, mchezaji Pekee aliyesaria katika kikosi kilichotwa ubingwa wa ulaya mwaka 2005 ,
ndiye aliyeisaidia timu baada ya Javi Manquillo kufanyiwa faulo na Mlinda mlango
Milan Borjan.
MATOKEA MENGINE
No comments:
Post a Comment