Leicester City ilipigana kutoka nyuma ya Mabao matatu 3-1 na kujipatia ushinmdi wa bao tano kwa tatu Dhidi ya Manchester United.
United walionekana washashinda mchezo pale Robin van Persie alipofunga goli kwa kichwa na Angel Di Maria alipochop mpira na kuifanya manchester united iongoze katika mchezo huo .
Leonardo Ulloa's alifunga goli kwa kichwa kupunguza idadi ya magoli lakini goli la kisigino la Ander Herrera's liliipa uongozi zaidi United's .
Lakini Leicester's walijikaza na kurejesha magoli hayo kupitia kwa David Nugent aliyefungwa kwa Penati na Esteban Cambiasso na baadae jamie Vardy na penati ya a Ulloa ikawapatia ushindi Leceister city
No comments:
Post a Comment