Mchezaji wa zamani wa timu ya Annur na Malindi Ali Adof akipongezana na
mchezaji wa zamani Simba Madaraka Suleiman. baada ya mchezo wao
kumalizika kwa kutoka sare ya 3--3.
Wachezaji wa zamani wa Timu ya Simba wakiwa na wachezaji wa zamani wa
Timu ya Taifa na ya Zanzibar wakipongezana baada ya mchezo wa
kirafiki kumalizika kwa sare ya mabao 3--3, mchezo uliofanyika uwanja wa
Amaan Zanzibar.mwenye jezi namba 18 Shem Frenk na jezi namba 15 Mbengu
Mohammed.
No comments:
Post a Comment