Beki wa kulia wa Klabu ya Arsenal Mathieu Debuchy ameumia vibaya na haijajulikana bado atakaa nje ya kiwanja kwa muda gani .
Kocha Arsene Wenger amesema majeraha ya Debuchy’s ‘Hayaonyeshi kupona upesi na kuna hitajika kufanyika uchunguzi wa kina zaidi waweze kugundua atakaa nje kwa muda gani .
Mchezaji hyuo mwenye 29- Debuchy alianguka vibaya na kukanyaga vibaya kifundo chake cha mguu wa kushoto katika kipindi cha pili cha mchezo kati ya Arsenal na Mna city ambapo mchezo huo uliisha kwa magoli mawili kwa mawili katika mchezo uliochzwa jumamosi Tarehe kumi na tatu
Beki wa kulia wa Arsenal akigaragara chini mara baada ya kuumia kifundo cha mguu
Kocha wawashika Bunduki Arsene Wenger Amekubari kuwa Majeraha ya Debuchy's hayaonyeshi dalilia Nzuri
Arsenal
Haina walinzi mbadala katika safu yake ya ulinzi ,Kijana mwenye miaka 19- Calum
Chambers aliingia kuchukua nafasi ya mfaransa huyo aliyetolewa kwa machera .
Debuchy alijiunga na
Arsenal katika majira ya kiangazi akichukua nafasi ya Bacary Sagna, ambaye amejiunga na klabu ya Man City, na alicheza vizuri katika mechi na klabu yake ya zamani katika uwanja Emirates.
Martin
Demichelis ndiye aliyeokoa city kwa kusawazisha goli na kuipa alama moja katika dimba la Emirates .
No comments:
Post a Comment