HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 March 2009

KIKOSI CHA MIZINGA CHATOA NYIMBO KUPINGA MAUJI YA ALBINO

Habari za leo wapenzi wanaablog leo nina mada mpya ambayo kwakwaeli isipoangaliwa kwa umakini zaidi twaweza kufa wote mmoja baada ya mwingine lakini cha kushangaza zaidi swala hili sikuwahi kulisikia sehemu nyingine ya yeyote zaidi ya Tanzania wanablog jambo hili limekuwa sugu na ni hatari zaidi laiti siku moja ningepeta kuonana na tajiri mkubwa duniani namzungumzia bill gates ningemuuliza ulipate je utajiri nadhani yeye angetupa njia sahihi za utajiri wake lakini sina uhakika sana kama yeye aliuwa watu kwani moja kati ya sababu kubwa ndani ya nchi yetu ya Tanzania ni watu kutafuta utajiri mkubwa kwa njia yeyote hata mimi napenda kuwa tajiri lakini sio kwa njia ambayo wenzangu wameaua kuitumia hii ni hatari pengine ndio laana ambayo Mungu anatuachia kutokana maovu tunayo yafanya. Pichani ni wasanii wakikosi cha mizinga wakitoa kidokezo katika ukumbi wa idara habari maelezo jana Ndugu zanguni moja kati ya mambo ambayo hata waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mizengo kayanza peter panda alilaani na kulia bungeni mjini Dodoma ni maauji ya ndugu zetu albino ambayo sasa imekuwa hatari hizi kuna mahusiani gani kati ya utajiri viungo vya ndugu zetu hawa kwani hawajamkosea Mungu kitu chochote lakini tangu nikiwa mdogo nilipokuwa nikienda hospitari sikuwahi kuwaambiawa lete mguu wa blue kichwa cheupe au mkia wa njano ili nipone malaria au kipindupindu lakini watu huwananiambia na niliiskia ya kuwa ukienda kwa mganga utaamliwa ulete vitu binafsi sijawahikwenda huko kutokana na imani yangu kunikataza kabisa kwenda na kunipiga maarufuku kabisa endapo nitaoneka huko itakuwa hatari sana kwangu kwa baba aliye juu apendi mambo hayo. ndugu zetu hawa yatupaswa tuwalinde kama hatukufanya hivyo tutawapoteza kama walivyopotea dinosaur. ismail sumalago moja kati ya wasanii mahiri wa kikosi cha miznga wakifuatila kwa makini mambo yaliyokuwa yakizungumzwa na mwenyekiti wa kundi hlo hayupo pichani. Leo hii kikundi kimoja cha muziki chenye makao makuu ya Kinondoni block 41 kijulikanacho kama kikosi cha mizinga”Hip –hop Crew” kimeamua dhahiri kupambana na mauaji ya ALBINO na wakijaa na kauli mpya itwaayo “HIP-HOP AGAINST VIOLENCE” inayoomanisha kwamba wasanii hao wameamua kupambana kwa moyo mmoja ukatiri dhidi ya mauaji ya kikatiri ya maalbino. Walikuwa wakizungumza katikaukumbi wa idra ya Habari maelezo lakini moja kati ya vitu ambavyo vilinivutia zaidi ni uwepo wa maalbino ya united ile timu ya mpira wa miguu ya maalbino kwakweli nilisikia laaa japo kuwa swala hili limejaa uzuni sana kwa wakati mwingine watu wengine uzungumzia swala la maalbino pasipo wao kuwepo moja kati ya wachezaji waliokuwepo ni Garson Mcheka katibu wa maalbino united na mwenyekiti Abdulaaziz abdalalah nahodha wa timu ya maalbino nahodha wa malibinoabdulahaziz abdalah akiwa na akiwa na katibu wa timu ya maalbino united katika ukumbi wa habari maelezo jana. Kwa upande mwingine moja kati ya wasanii hao kutoka kikosi cha mizinga ni Kalapina,Sumalugo,Mau,gwalifukuda wasanii wengine ambao watakenye muziki ni Nduli kutoka serious manizo Coin moko kutoka viraka Hasan wa united,ibony moalim , zimwi na Half Animal vile wimbo huo upo katika lugha mbili kiingereza na Kiswahili nyimbo hizi ni mahsusi zaidi kwa kwa kukomesha mauji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi ambao sasa imekuwa hatari zaidi kwani wapo baadhi ya watu ambo wamekuwa wa kiusisha kuwa ukipata viungo vyovyote vya albino malbino unakuwa tajiri dhana ambayo sio sahihi kabisa kwani hakuna uhusiano wowote ambao unadhihirisha kuwa viungo hivyo vinaweza kuleta utajiri kwani hakuna mtu yeyote Yule ambaye ameweza kujitokeza na kusema na kusema ni kweli yeye amepata utajiri kupitia viungo vya malbino. juu pichani hilo ndilo kundi zima la kikosi cha miznga kilipokuwa kikiongea na wandishi wa habari hapo jana. Ndugu watanznia kwakweli hipo haja ya kuanza kufikiria lakini chanzo kikubwa kimeonekana kuwa ni waganga wa kienyeji ambayo wamekuwa wakishawishi watu kuleta vitu ambavyo hata muonekano wa kawaida havijawahi kuoneka mguu mweupe mkia wa njano haya ni mambo ya ajabu mwisho wa siku tuta ambiwa tulete kichwa cha MUNGU nadhani hapo ndipo laana itkapo tumaliza wote kwa kama ilivyokuwa kwa vizazi vya sodoma na gomora au nuhu sio vizuri tukasubiri mabo haya ya tufikie lakini waganga wa jadi wengine ambao hutumia vifaa vya kisasa nina amini kwamba baada la tamko la Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kufuta leseni waganga hawa ni sahihi kwa nina amini mchakato wa utoaji leseni ukiaanza nina aminia wale waganga watakao pata leseni watakuwa ni wa jadi na wanatumia vifaa vya kisasa na wale ambao hawatapata leseni ndipo tutawa ta futie sheria ya kuwatafutia nini cha kuwafanya.

1 comment:

  1. mcharuko sana wakubwa wa kazi!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers