HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 April 2009

JERRY MURO WA ITV RADIO ONE APEWA TUZO

Habari za leo tena wanablog ninaamini kwamba muwazima naamini kama utakuwa mtazamaji mzuri wa taarifa za habari katika runinga mbalimbali nchini basi utakubaliana name kuwa moja kati ya watu wanaoripoti habari kwa ubora zaidi sio kanakwamba wengine hawajui hapana lakini kaka yetu huyu nafanyakazi katika ubaora wa hari ya juu kama unamtazama akifanya reportage kwenye kituo cha binafsi cha ITV ni Jerry Muro ambaye pindi naporipoti kwa kuweza kuripoti vizuri habari za uchunguzi na rushwa uanweza kusikia raha binafsi hujihisi kama naangalia Kipindi cha runinga ya kimataifa CNN ambacho hutwa BACK STORY yaani wakiimanisha nje ya story unaweza kuona jinsi watangazaji wa CNN wanavyoweza kufafanua mambo na kuya eleza kwa uzuri zaidi Mtangazaji wa ITV Radio Jerry Muro akipokea hundi ya shilingi milioni moja na cheti ikiwa ni tuzo ya ya mchango bora kwa jamii. Akizungumza kabla ya kutoa zawadi hiyo Mkurugenzi alisema tuzo hiyo utolewa kwa watu binafsi au mashirika kwa kutambua mchango au kuongoza vizuri katika kupambana na maradhi ya hatari kama vile Ukimwi,Saratani na Maralia,na waharibifu wa mazingira.vilevile aliongeza kwa kusema tuzo hiyo ni ya kitanzania na kuyaomba makampuni kuunga mkono tuzo hiyo. Kwa kuona mchango wake Mkurugenzi Mtendaji wa THE LEADERSHIP FORUM , Hebron Mwakagenda walimua kumzawadiwa ya fedha shs Milion moja kama zawadi kwa mchango mkubwa ambao anaunyesha katika jamii ya kitanzania katika kuielimisha jamiii jamii katika mambo mbalimbali. Akizungumza kabla ya kutoa zawadi hiyo Mkurugenzi alisema tuzo hiyo utolewa kwa watu binafsi au mashirika kwa kutambua mchango au kuongoza vizuri katika kupambana na maradhi ya hatari kama vile Ukimwi,Saratani na Maralia,na waharibifu wa mazingira.vilevile aliongeza kwa kusema tuzo hiyo ni ya kitanzania na kuyaomba makampuni kuunga mkono tuzo hiyo. Serafina mkuwa daktari Mewata akipokea hundi ya shs milioni moja na nusu katika sherhe zilizo fanyika habari maelezo juzi jumatatu Vile vile Chama cha madaktari wanawake Tanzania MEWATA nao walipta zawadi milioni moja na nusu kwa kutoa mchango mkubwa hasa katika kutibu na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kansa kwa upande wa mama zetu. Kwa upande wa jerry mwenyewe alisema anawashukuru sana leadership forum kwa kuona kazi anayoifanya vile akasisitiza na kusema kuwa tuzo hiyo ni ushindi wa wana habari kwani ni faraja kuona wandishi wakipata tuzo inaonyesha dhahiri kazi kubwa wanaifanya inathaminiwa. Kwa upande wa MEWATA Doctor Mary Koku Charles alisema ameishukuru sana Leaders forum na ITV radio kwa kwa mchango mkubwa wa wanaowapa ikiwa ni pamoja na kuitangaza MEWATA katika vita ya kupambana na magonjwa ya saratani na kuongeza pesa hizo walizopata zitawasaidia kugharamia usafir wa kwa madakatear kuwa leta katika hospitari ya ocean Road. katiaka picha ya pamoja kutoka kushoto ni seif nakuchima prgrame manager leaders forum jeery muro wa itv serafina mkuwa meweta mary charls mewata na mkurugenzi hebron mwakagenda katiaka sherhe za utoaji zawadi uliofanyika idara habari maelezo

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers