HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 April 2009

SAWASAWA KAMANDA KOVA WAKOMESHE WAHARIFU

Habari za leo jamani natumai wote ni wazima bukheri wa afya leo kuna jambo ambalo kwa mtanzania yeyote Yule mpenda maendeleo lazima atafurahia lakini kazi hii inafanywa na moja kati ya watu ambao bila wao huku mtaani mambo haya kuwezi kuwa sawa hasa katika usalama nazungumzia kwani ndio wanatufanya tutembee mtaani tukiwa jeuri na wenye furaha wakati wote nalizungumzia jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam chini ya Kamanda maalum wa polisi ya Dar es salaam Suileman H Kova –SACPJeshi hili limekuwa kielelezo kikubwa katika serikali utwala wa sheria katika utawala wa haki kwa raia wote. Kamanda kova amesema kuwa katika kipindi cha robo mwaka jeshi la polisi limeweza kudhibit uhalifu katika sehemu mbalimbali katika jiji la Dar es salaam na pale litakapo tokea tukio hatua mbalimabali zitachukuliwa kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali. Naam haya ndio mambo ambayao kamanda kufanikisha kwakweli anawadhibiti ambapo misako mbalimbali ya uhalifu ambayo mingine imefanyika kiintelijensia pamoja na za wananchi, Naam jumla ya majambazi sugu mai mbili hamsini ambayo kesi zao zinaendelea katika mahakama mbalimbali. Vilevile zimekamatwa silaha za moto SMG 5 na Risasi short gun 15 Risasi za SMG 48 Bastora 48 short gun Vilevile pikipiki mbili zimeibiwa moja ikiwa imeibiwa maeneo ya mbagala na nyingine bagamayo. Kwakweli jeshi la polisi linahitaji sifa kwa yale yole ambayo inafanya kwani kamanda anafanya kazi kwa hari ya juu vilevile kamanda kova alimkaribisha bwana Mlongetcha lovis mkuku ambaye amejitolea kutoa pesa kwa vijana ambao wameamua kujitoa katika mambo ya ujambazi kwani wamekuwa hawana kazi maalum kwa hiyo atawasadia kuanzisha baadhi ya miradi mbalimbali itawasadia katika maisha mapya. Hayakuishia hapo jumla ya magari matatu T.316 AGM LAND CRUISER T.523 ATC TOYOTA COROLA T.ARC TOYOTA COROLA Vile vitu vingine ambavyo jehi la polisi limeweza kuvikamata ni short gun mbili zilizotengenezwa kienyeji Risasi mbili maganda 5 genereta 1 mashine za boti kubwa 1 na mitambo ya gongo Mitatu vilevile Dawa ya kulevya pipi 59 aina cocane,kg1500 za bangi sawa na tani moja na nusu pamoja na misokoto 845 ya bangi ndugu zangu wanablog inafika mahala tuseme kamanda kova ahasante fikiriki hiyo tani moja na nusu watu wangevuta ingekuwaji hii si hatari jamani tungeweza kupata vchaa wa akiri mtaani hii ni balaa kabisaa ukiachiria hayo Pombe haramu aina ya Gongo zaidi ya lita 1,000 ambazo zilikamatwa maeneo mbalimbali ya jiji la dar es salaam na wanywaji 345 ikiwa na wauzaji 49 Naam wanablog ngoja niwaonyeshe mafanikio katika mpangilio mzuri hapo chini. HAYA MAFANIKIO YA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI 1 Makosa ya ubovu magari 6,041 2 Obstruction yaani kuchomekeana 1,100 3Kuzidisha abiria 755 4Makosa ya leseni za usafishaji (TLA) 1,170 5Makaosa ya kukatisha route 1,013 6Uendeshaji wa hatari 670 7Kuto tii amri903 8Matumizi mabaya ya barabara 1,571 9Makosa ya Driving License 665 10 Makosa mengine 3481 CHINI KWENYE PICHA NI MOJA KATI SILAHA ZILKAMTWA NA JESHI LA POLISI JAPOKUWA ILIKUWA IKIMILKWA KIHARARI LAIKNI ILTUMIKA KWA UHALIFU KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SULEIMA H KOVA AKITOA MFNO KWA HABARI JINSI SILAHA HIZO ZINAWEZA KUFANYA KAZI.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers