HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 July 2010

MIKE BARASA YUKO WAPI

Afisa habari wa klabu ya soka simba sports Cliford mario Ndimbo alipokuwa anataja kikosi cha klabu ya soka simba ya jijini dar es salaam lakini kubwa zaidi ni kutokuwemo kwa jina la mchezaji raia ya wa kenya Mike Barasa ya la msingi kama jina hili lingekuwemo simba ingekuwa iko nje ya utaratibu wa tff wa kusajiri wachezaji wa kigeni aidha kwa upande kipa wa maarufu kama Dida akufika katika usajiri kwa maana hiyo amejiondoa yeye mwenyewe Chini ni Majina ya wachezaji wa simba 1  JUMA KASEJA JUMA 2       ALLY MUSTAPHA 3     RAMADHAN SHAMTE 4         SALUM KANONI 5       JUMA JABU 6      AMIR MAFTA 7    KELVIN YONDAN 8       JUMA NYOSO 9    JOSEPH OWINO 10     DAUDI MAFTAR 11   MOHAMED BANKA 12   ABDUKHALIM HAMOUD 13     JERRY SANTO 14    HILLARY ECHESA 15      AMRI KIEMBA 16      SHIJA MKINA 17     NICO NYAGAWA 18    RASHID GUMBO 19    UHURU SULEMANI 20    GILLA SALUM AZIZ 21     MUSSA HASSANI MGOSI 22     EMANUEL OKWI 23      PATRICK OCHAN 24    MBWANA SAMATTA 25     MOHAMED KIJUSO 26       KELVIN HAULE NEW PLAYERS ;- - AMIR MAFTAH - ABDULKHALM HAMOUD - SHIJA MKINA - PATRICK OCHAN - KELVIN HAULE - RASHID GUMBO - MBWANA SAMATTA

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers