HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 August 2012

VAN PERSIE AJIUNGA NA WENZAKE UJERUMANI

Nahodha wa klabu ya arsenal ya Uingereza Robin Van Persie ambaye alitangaza wazi mwezi uliopita kuwa hatosaini kandarasi mpya kuitumikia timu hiyo amejiunga rasmi ya jana na wachezaji wenzake huko ujerumani  ambapo timu inatarajia kucheza na Fc Koln mwishoni mwa juma hili  

Mholanzi huyo ambaye amevutia klabu nyingi za ulaya kutaka saini ikiwamo Juventus ya italia Man city ya uingereza na Man utd baada ya kuweka wazi kuwazi kuwa akubaliani sana uendeshwaji klabu yenye maskani yake huko kaskazini mwa london ambapo july 4 mwaka alichapisha kwenye tovuti yake, huku arsena ikimaliza miaka saba bila taji na ikiachwa alama 19 nyuma ya timu za jiji la  Manchester.
Katika mahojiano na mija ya toavuti kubwa barani ulaya Van persie ameonyesha kuvutiawa na wachezaji wapaya ambao tayari klabu hiyo imeshawasajiri mpaka sasa ambao alikuwa nao katika kiwanja cha kufanyia mazoezi cha London Colney wiki iliyopita Olivier Giroud , Lukas Podolski, na Santi Cazola watakuwemo kwenye kikosi cha arsenal siku ya jumapili katika uwanja wa  RheinEnergieStadion,  ambao tayari mpaka sasa wameshapata mafunzo kutoka kwa kocha wa timu hiyo Arsene Wenger mabapo wanatajiwa kuongeza kasi ya ushambuliaji  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers