HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 August 2012

KOCHA MPYA WA AZAM AWEKWA HADHARANI

Picha ni kocha mpya wa timu ya Azam fc akifundisha soka Nchini kwake huyu alikuwa mchezaji wa Zamani wa timu ya taifa ya Serbia ambaye kwa sasa ana miaka 54 ametambulishwa leo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Pichani ni Mwenyekiti wa klabu ya Azam fc Akimtambulisha kocha mpya wa timu hiyo Mserbia Boris Bunjak(Bunyak) Kocha huyo Amesaini Kandarasi ya Miaka miwili na klabu hiyo .


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers