HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 October 2012

NADAL KUTAZAMIA KUCHEZA MASHINDA YA WAZI YA AUSTRALIA



Rafael Nadal Amekubali kuwa huenda akacheza tena  katika michuano ya mwezi January  katika michuano ya wazi Australian.

Bingwa huyo namba 1  wa Zamani . amekuwa nje  baada ya kuumia kweny goti -- Tangu ajitoe mwezi julai katika michuano ya olimpick  ajacheza tena tangu alipo fungwa na mchezaji ambaye hana kiwango cha ubora Czech Lukas Rosol katika mashindano ya Wimbledon's.

Bingwa huyo mara kumi na moja wa mashindano ya Grand Slam Nadal  alikataa kujitoa katika mashindano ya  Davis Cup katika mechi ya fanali  Dhidi raia Czech Republic Mwezi November ,
lakini amekubali  kuwa itakuwa ngumu kurejea kwa timu baada ya miezi mitatu kuwa nje  
Kwa sasa  kitu ninachopigania ni kushindana katika michuano ya   Australian Open," kijana huyo mwenye  Mwenye miaka   26 aliiambia  CNN Espanol, .

"kuhusu  Davis Cup , bila shaka nitapenda kushiriki  lakini kwanza nataka kutazama kama nitakuwa sawa kiufundi na kimwli  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers