HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 December 2012

AHSANTE LIONEL MESI Gerd Mueller



Gwiji la soka la Ujerumani Gerd Mueller amempa saluti mchezaji wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi baada ya kuvunja takwimu  ya magoli mengi kwa mwaka  

Mueller alifunga mabao   85 akiwa  Bayern Munich na ujerumani Magharibi 1972  lakini mesi ameweza kuuonyesha ulimwengu baada ya kufunga bao la  86 akiwa na klabu yake ya  Barcelona na timu ya taifa ya  Argentina katika mwaka wa  2012.

Takwimu yangu ilisimama kwa miaka arobaini  kwa magoli 85 katika mechi 60 na kwa sasa mchezaji bora ulimwengu amefunga ," Mueller aliliambia gazeti la ujerumani  Sport1.de.  

"Nimefurahishwa sana naye ni mchezaji wa aina yake 
Mshambuliaji huyo wa zamani alikuwa na miaka   27 pale alipofunga mabao 72 kwa bayern munich na 13 kwa Ujerumani Magharibi akiweka Takwimu iliyovunjwa  

Mshindi Mara tatu wa uchezaji bora wa mwaka ambaye ana miaka ishirini tano bado ana mechi mbili mkononi na moja ya kombe la mfalme ambapo anaweza kuongeza magoli mengine  hadi mwishoni mwa mwaka 

Messi amesema : " Nitajaribu kufunga magoli mengi zaidi ilikumfanya mchezaji ajaye aone ugumu wa kuvunja Takwimu hiii!! ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers