HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 December 2012

Anderson NJE WIKI TATU

Kocha  Sir Alex Ferguson  Amethibitisha kuwa  kiungo  wa timu hiyo  Manchester United  Anderson  atakuwa nje kwa majuma matatu  baada ya kuumia  msuli .

MBrazili huyo alionekana akichechemea wakati timu yake iliposhinda dhidi ya  Reading.

Imetokea wakati kiungo huyu  akiwa katika kiwango chake cha juu mchezaji huyu  ambaye alikuwa akicheza  FC Porto zamani , aliongeza nguvu kubwa kwa mashetani wekundu hivi karibuni  .

Japokuwa
alifanikiwa kutoka katika majeruhi  sasa ameumia tena ambapo sasa kutamfanya akae nje kwa takriban mwezi mmoja .

"Ni msuli ,"  Ferguson aliimbia   MUTV. " itamchukua wiki tatu mpaka nne sio kitu kikubwa sana lakini ni msuli tu ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers