HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 December 2012

Fergie AANZAA KUONYESHA WOGA DHIDI YA Atkinson ?



Mwamuzi  Martin Atkinson ndiye atakaye chezesha mechi kati ya  Ndugu wawili yaani  Manchester derby mchezo utakaochezwa katika dimba la  Etihad hapo kesho  japokuwa amaekuwa na kutokuelewana dhidi Mkufunzi wa Manchester uinted  Sir Alex Ferguson Nyakati za nyuma  . 

Japokuwa mechi hii ni ya mapema mno kusema nani anaweza kutwaa ubingwa wa msimu huu katika ligi ya premier lakini mechi hii itatoa uelekeo hasa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Christmas 


Ferguson aliwahi kuadhibiwa mechi tano baada ya kuvuka mstari pale anapotakiwa kusimama na kupigwa faini ya pauni £30,000 sawa na milioni 75,000,000 za tz  na Chama cha soka cha uingereza baada ya kumtolea maneno yasiyofaa Mwamuzi  Martin Atkinson baada ya  United’s  kufungwa 2-1 dhidi ya   Chelsea.

Akiongea baada ya mechi hiyo katika dimba la Stamford Bridge, Ferguson  alisema kuwa alikuwa na wasi wasi baada ya kuskia kuwa   Atkinson  amepewa mamlaka ya kuchesha mechi hiyo 

Atkinson Hakumtoa nje beki wa chelsea  David Luiz baada ya kumchezea vibaya  Javier Hernandez na  Wayne Rooney, na  Ferguson akasema  : Unahitaji mwamuzi afanye haki ‘,au mwamuzi imara potelea mbali  hatukupata  mtu wa aina hiyo  .Lazima niseme pale niliposkia nani anachezesha kwakeli nilipatwa na wasiwasi tena sana .’ sasa mwamuzi huyu ndiye atakaye chezesha pambalo la kesho .

.


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers