HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 December 2012

FULHAM 2-1NEWCASTLE



Fulham Imemaliza ukata wa mechi saba bila ya ushindi baada ya kuibamiza Newcastle katika muendelezo wa ligi kuu ya uingereza hapo jana  .

 Steve Sidwell  aliipatia tmu yake bao la kwanza baada ya kupiga mpira wa madhambi uliomgonga beki wa Newcastle na kupata  bao lao la kwanza ndani ya saa tano za ligi a uingereza

 Newcastle ilisawazisha kupitia kwa   Hatem Ben Arfa aliyemzidi maarifa   Mark Schwarzer baada ya kupiga mpira wa mita  au yad  25 .

 Lakini kichwa kilichopigwa na kijana kutoka Mexico  Hugo Rodallega's kilihihakikishia alama tatu muhimu kwa Fulham .
na kurejesha matumani ya kubaki katika ligi ya uingereza kwani timu zote mbili zilikuwa zinakaribia kuelea mkiani mwa ligi hiyo
 .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers